KCPE Kiswahili Revision Paper With Answers

KCPE Kiswahili Revision Paper With Answers

Soma vifungu vifuatavyo. Vina nafasi  1 mpaka 15. Kwa kila nafasi umepewa majibu manne. Chagua jibu moja lifaalo kati ya yale uliyopewa

Nyongeza ya …….1……….. ya kuegesha magari……….2……….jiji la Nairobi ni sawa kabisa. Hata kama kuna uwezekano wa kuongezwa zaidi, basi nitafurahia sana. Hatua hii itasidia kutatua shida ya ………..3……..  wa magari kuingia jijini. Nawashauri magavana …………4……… kaunti nyingine …….5……. wafuate …………6………. za Gavana wa Nairobi ili kutoa suluhisho …………7…….. kaunti zao

 

A B C D
1 ada kiingilio fola nauli
2 katikati mwa katikato ya katikati pa katikati kwa
3 safi mzengwe msongamano mlolongo
4 zote yote kote wote
5 arubaine na sita  arubaine na saba  arubaine thelathini na saba
6 unyayo nyayo   mkondo mfano
7 kwa ndani katika  katikati

KCPE Kiswahili Revision Paper With Answers

Find: Kiswahili Insha Examples

Kutoka swali la 8 hadi 22, chagua jibu lililo sahii

8. Chagua kielezi katika sentensi ifuatayo
Tulivuka msitu na nyika lakini hatukumpata
A)Lakini B) Msitu wa nyika C) Htumumpata D) Tulitembea

9. Ni sentensi ipi ambayo imetumia ‘kwa’ kuonesha misemo
A) Mbili kwa tatu
B) Alienda nyumbani moja kwa moja
C) Arusi ilihudhuliwa na wasichana kwa wavulana
D) Timu ya Arsenali iliwafunga Newscastle bao noja kwa sufuri

10. Chagua usemi taarifa wa:
‘Mjitayarishe tuondoke kesho’ baba alisema
A)Baba alituambia tujitayarishe tuondoke kesho
B) Baba anatuambia tujitayarishe tuondoke siku iliyofuata
C) Mjitayarishe tutaondoka siku inayofuata
D) Baba alituambia tujitayarishe tuondoke siku iliyofuata

11. Chagua wingi wa :
Ninaipenda nyama ya bata kuliko ya kuku
A)Wanazipenda nyama za bata kiliko za kuku
B) Mnazipenda nyama za mabata kuziliko za kuku
C) Tunaipenda nyama ya bata kiliko ya kuku
D) Tunazipenda nyama za mabata kuliko za kuku

12.Tegua kitendawili

Naenda na mwenzangu narudi peke yangu
A) Umande B) Kivuli C) Chawa D) Kifo

13. Chagua jibu ambalo lina vihisishi pekee
A)kidogo, raha mustarehe, baadaye, zaidi
B) kwa,ni,katika,hadi
C) kumbe!, ole wangu!, Allah akbar! Ajabu!
D) –enye, -ingine, wa, tano

14. Andika kwa wingi
Mtoto anaruka
A) Watoto wanaruka
B) Watoto waliruka
C) Watoto wataruka
D) Watoto wameruka

15. Chagua senteni ambayo ina matumizi ya kiambishi ‘ki’ cha wakati uliopita hali ya kuendelea
A) Aliniamkua alipokuwa akipita kijijini
B) Mjomba wangu hupenda kuvaa kizamani
C) Akisoma atafaulu kama kifungua mimba wao
D) Mwalimu akinipongeza nitafurahia mno

Read: Methali za Kiswahili

16. Neno gani amalo lina silabi tatu
A) Mkwajuni B) Mti C) Mkate D)Karatasini

17. Rafiki wa kike wa mwanaume huitwa
A) Umbu B) Babu C) Somo D) Shoga

18. Buda ni kwa ajuza,…………………. Nikwa ghulamu
A) Kapera B) Banati C) Bin D) Mseja

19. Sayari iliyo na pete ni:
A) Zohali B) Zaibaki C) Mshatarii D) Zuhura

20. ………………….. ni kwa sebuleni na toroli ni viwandani
A) Parafujo B) Takia C) Kinoo D) Kibago

21. Chagua methali ambayo haiafikiani na maelezo yafuatayo
‘Inatumiwa kwa mtu ambaye amefanya jambo baya kwa maksudi kisha likaishia
kumletea madhara’
A) Fimbo wa maskini mlifi ni Mungu
B) Mwiba wa kujichoma hauambiwi pole
C) Mwenya tumbo ni tumbole angafunga mkaja
D) Mwenye pupa hadiriki kula tamu

22. Ukubwa wa sentensi
Kiatu kidogo kimenunuliwa , ni:
A) Jiatu dogo limenunuliwa
B) Viatu vidogo vimenunuliwa
C) Jikiatu dogo limenunuliwa
D) Kijiatu kidogo kimenunuliwa

Download: Free 2021 KCPE English Past Papers with Answers

KCPE Kiswahili answers

1      A     18    B

2      B     19    C

3      C     20    B

4      D     21    D

5      A     22    A

6      B             

7      C                    

8      B             

9      B             

10    D             

11    D             

12    C             

13    C             

14    A             

15    A             

16    C             

17    D