KCSE Kiswahili Paper 1 2010

Find KCSE Kiswahili Paper 1 2010. Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili Paper 1 Past paper

Muda:  Saa 1¾

Maagizo

(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.

(b) Kisha changua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizo bakia

(c) Kila insha isipungue manano 400.

(d) Kila insha ina alama 20.

1.  Insha ya Lazima

Andika wasifu wa ndugu yako ambaye amepanga hafla ya kuchangisha pesa za kumgharamia masomo ya Chuo kikuu.     (alama 20)

2. Eleza hatua zinazochukuliwa na serikali kupambana na ufisadi hapa nchini.     (alama 20)

3. “Wakenya hawawezi kuafikia umoja wa kitaifa iwapo wataendelea kutumia lugha zao za kienyeji.”Jadili.    (alama 20)

4. Binadamu ni ngamba hakosi Ia kuamba.    (alama 20)